KIKOSI CHA COASTAL UNION KILICHOLAZIMISHWA SARE NA MWADUI YA SHINYANGA LEO |
WAGOSI WA KAYA WAKIPIGA DUA KABLA YA KUANZA MECHI HIYO LEO. |
KIKOSI CHA TIMU YA MWADUI YA SHINYANGA KILICHOCHEZA NA COASTAL UNION LEO |
KUTOKA KULIA NI MENEJA WA COASTAL UNION,AKIDA MACHAI,KATIBU MKUU WA COASTAL UNION KASSIM EL SIAGI WAKIFUATILIA MCHEZO WA LEO WAKIWA SAMBAMBA NA MASHABIKI WENGINE WA SOKA MKOANI TANGA. |
KOCHA WA COASTAL UNION JAMES NANDWA AKITOA MAWAIDHA KWA WACHEZAJI WA TIMU HIYO LEO |
KOCHA MKUU WA COASTAL UNION,JAMES NANDWA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO MARA BAADA YA KUMALIZIKA MECHI YA KIRAFIKI DHIDI YAKE NI MWADUI YA SHINYANGA.
No comments:
Post a Comment