Sunday, October 19, 2014

HIVYO NDIVYO COASTAL UNION ILIVYOWEZA KUCHUKUA POINTI TATU MBELE YA MGAMBO SHOOTING

KIKOSI CHA COASTAL UNION KILICHOILAZA MGAMBO JKT BAO 2-0,

KOCHA MKUU WA COASTAL UNION YUSUPH CHIPPO KUSHOTO NA KOCHA MSAIDIZI BENARD MWALALA WAKIJADILIANA JAMBO WAKATI WA MAPUMZIKO.





WA PILI KUTOKA KUSHOTO NI KATIBU WA COASTAL UNION KASSIM EL SIAGI NA WAJUMBE WA KAMATI YA UTENDAJI SALIM AMIRI NA ALBERT PETER.

WA PILI KUTOKA KULIA NI MENEJA WA COASTAL UNION AKIDA MACHAI NA ANAYEFUATIA NI ALIYEKUWA MWENYEKITI WA COASTAL UNION MZEE HEMED AURORA WAKIFUATILIA MECHI KATI YA M,GAMBO NA COASTAL UNION

WA KWANZA ALIYESIMAMA KUSHOTO NI MENEJA WA COASTAL UNION AKIDA MACHAI AKIZUNGUMZA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA SOKA MKOA WA TANGA TRFA



No comments:

Post a Comment