Tuesday, October 7, 2014

HIVI NDIVYO COASTAL UNION ILIVYOWAKALISHA NDANDA SC MKWAKWANI

KIKOSI CHA COASTAL UNION KILICHOICHAPA NDANDA SC MABAO 2-1 UWANJA WA CCM MKWAKWANI JUZI

KOCHA MKUU WA COASTAL UNION YUSUPH CHIPPO AKIWAPA MAELEKEZO WACHEZAJI WAKE.

KOCHA CHIPPO AKITOA MAELEKEZO KWA MSHAMBULIAJI WA COASTAL UNION RAMA SALUMU NAMNA YA KWENDA KUHAKIKISHA TIMU INAPATA USHINDI KWENYE MECHI YAO YA LIGI KUU DHIDI YA NDANDA SC ILIYOMALIZIKA KWA COASTAL UNION KUIBUKA NA USHINDI WA MABAO 2-1.

ALIYEKUWA MWENYEKITI WA COASTAL UNION HEMED AURORA AKIWA NA MAHUNDI KWENYE MECHI HIYO

KUSHOTO NI KOCHA CHIPPO KATIKATI NI ALIYEKUWA MWENYEKITI WA COASTAL UNION HEMED AURORA ANAYEFUATIA NI MKURUGENZI WA UFUNDI MOHAMED KAMPIRA NA MJUMBE WA KAMATI YA USAJILI RAZACK KHALFANI "KAREKA: WAKIJADILI JAMBO

MBUNGE WA JIMBO LA TANGA,OMARI NUNDU KUSHOTO AKISAMILIMIANA NA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA COASTAL UNION HEMED AURORA KABLA YA KUANZA MCHEZO WA LIGI KUU SOKA TANZANIA BARA JUZI KATI YA NDANDA SC NA COASTAL UNION

KATIKATI NI ALIYEKUWA MWENYEKITI WA COASTAL UNION HEMED AURORA,KUSHOTO KWAKE NI KOCHA MSAIDIZI WA COASTAL UNION BENARD MWALALA,KULIA NI KOCHA MKUU YUSUPH CHIPPO WAKIWA KATIKA MAZUNGUMZO



WA KWANZA KULIA NI MAKAMU MWENYEKITI WA COASTAL UNION STEVEN MGUTO AKIWA NA WANACHAMA WA TIMU HIYO AKISHUHUDIA MECHI KATI YA NDANDA SC NA COASTAL UNION JUZI

KOCHA MKUU WA COASTAL UNION YUSUPH CHIPPO AKIMPA MAELEKEZO MSHAMBULIAJI WA TIMU HIYO RAMA SALUM KABLA YA KUINGIA UWANJANI JUZI

BAADA YA USHINDI MASHABIKI NAO HAWAKUWA NYUMA KUSHANGILIA

WA KWANZA KUSHOTO NI MHASIBU WA COASTAL UNION KAKERE AKIFUATIWA NA MNEC WA WILAYA YA MKINGA,OMARI MWASINGO NA MNEC WA WILAYA YA PANGANI JUMAA WAKIFUATILIA MECHI HIYO

No comments:

Post a Comment