| KOCHA MKUU WA COASTAL UNION,YUSUPH CHIPPO AKIINGIA KWENYE UWANJA WA TAIFA JANA,KWENYE MECHI YAO DHIDI YA SIMBA |
| KIKOSI CHA WAGOSI WA KAYA KILICHOISUMBUA SIMBA JANA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM |
| MSHAMBULIAJI WA COASTAL UNION YAYO KATO LUTIMBA AKIINGIA UWANJANI HAPO JANA |
| BENCHI LA UFUNDI KUTOKA KULIA NI KOCHA MKUU YUSUPH CHIPPO NA KUSHOTO NI KOCHA MSAIDIZI BENARD MWALALA |
No comments:
Post a Comment